DALILI ZA HIV/UKIMWI ZAMWANZO


    Kama ilivyo magonjwa mengi hupitia hatua kadha kadha na kuonyesha dalili kadha katika hatua hizo. Basi HIV nayo ina hatua zake mpaka kuwa UKIMWI.


DALILI ZA MWANZO ZA HIV AMA UKIMWI


    Dalili hizi huanza kuonekana kuanzia wiki mbili mpaka nne na wakati mwingine mpaka sita toka kuingia mwilini. Mara chache sana huweza kuonekana mwanzoni mwa wiki ya kwanza. Katika kipindi hiki mtu anaweza kuona dalili zifuatazo:

1.kufimba kwa tezi za kwenye makwapa, mapaja na shingo

2.Homa

3.Uchovu

4.Kuharisha

5.Kupungua uzito

6.Kikohozi

7.Pumzi kutoka kidogodogo

8.Mafua 


Dalili hizi pia zinaweza kuhusiana na maradhi mengine, hivyo inaweza kuwa vigumu kujuwa nini chanzo zaidi. Wengi katika wanaopata HIV wametaja kuwa kuvimba kwa tezi ndio dalili pekee walioweza kuopata mwanzoni mwa kuathirika kwao. Wengine wanataja mafua kuwa ndio dalili yao ya kwanza.


    Baada ya kipindi hiki kupita mgonjwa hatapata dalili yeyote ile. Hiki ni kipindi hatari sana kwani mtu hataweza kujijua kama ameathirika. Kipindi hiki kinaweza kudumi mpaka miaka 10. katika kipindi hiki virusi vinaendelea kuathiri seli za mwili. Baada ya mwili kuwa umeathirika sana na kudhoofu mtu ataanza kupata dalili za UKIMWI.


      DALILI ZA UKIMWI


1.kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku

2.Kupata homa za mara kwa mara na kuhisi baridi

3.Kikohozi

4.Kushinwa kupumua vyema

5.Madoa madoa kwenye ulimi na mdomoni

6.Maumivu ya kichwa

7.Uchovu usiokuwa na sababu na usioisha

8.Kutokuona vyema

9.Kupungua uzito

10.Mapele na ukurutu kwe

  

*Usi ugope kupata VVU/UKIMWI sio mwisho wa maisha,unaweza ishi miaka mingi kama wengine na unaweza zaa watoto wasio na maambukizi!!           

B.Dr.Simfukwe;Mtaalamu wa afya ya uzazi,lishe na sayansi ya tendo la ndoa.📲+25574664165

👉Pata elimu juu ya kuutunza mwili wako uzidi kunawili na kubaki katika ubola wake licha ya kwamba tayari umeshaa athirika na VVU/UKIMWI;

*PATA VIRUTUBISHO MAALUMU KUENDELEA KUJENGA MWILI WAKO{KUWA NA UZITO MZULI}IMALISHA KINGA YA MWILI,ELIMU JUU YA VYAKULA NA MPANGILIO WA ULAJI,AINA YA MAZOEZI,JINSI YA KUEPUKA MSONGO WA MAWAZO ULIO ZIDI,ELIMU JUU YA MUONEKANO WAKO{UOGEE SABUNI GANI,UPAKE MAFUTA GANI NGOZI YAKO IZIDI KUWA NONO.....BY.Dr.SIMFUKWE📲+255746641655 call au bonyeza link hii kuja wattssp moja kwa moja👍https://bit.ly/3XgpzOD