FAIDA ZA TENDE KWA MWANAUME


 Tunda la tende linaongeza nguvu za kiume. Kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki vinaweza kuondoa tatizo lako. Chukua kiasi cha kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi kiasi cha lita moja na yakae usiku kucha.


Asubuhi, zisage tende hizo kwenye maziwa hayo hadi zichangayike, kisha weka asali kiasi cha vijiko vitatu au vinne vikubwa pamoja na unga wa hiriki, kiasi cha nusu kijiko kidogo. Kisha kunywa mchangayiko huo kila siku hadi utakapoona mabadiliko ya kuridhisha.....Kwa msaada,muongozo zaidi na Suluhisho sahihi la Upungufu wa nguvu za kiume📲+255746641655  ;By Dr.Simfukwe....#Wanaume

Post a Comment

0 Comments