FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA
1. Ubongo
Madini ya zinc huhitajika kwenye usafirishwaji wa taarifa za mwili.
Magnesium hutumiwa na ubongo kwenye kazi yake ya kuchakata taarifa, kufikiri na kutunza kumbukumbu.
Madini ya copper husadia kuuwezesha ubongo katika kudhibiti vyema mfumo wa taarifa zinazo tumwa ili zifanyiwe maamuzi.
Upungufu wa madini haya hudumaza uwezo wa ubongo katika kufanya majukumu yake ya msingi kila siku.( 28, 29, 30, 31, 32 )
Vyote hivi utavipata kwenye mbegu za maboga.
2. Kinga Mwili
Mbegu za maboga huwa na kiasi kikubwa cha viondoa sumu vinavyofaa kwa afya.
Mfano, vitamini E utaipata kwa wingi humo.
Husaidia kuongeza kinga mwili, kuzuia magonjwa sugu hasa saratani pamoja na kuharibu sumu zinazodumaza afya ya seli za mwili. ( 33, 34, 35 )
3. Mbegu za kiume
Madini ya zinc huhitajika kwenye utengenezwaji wa mbegu za kiume.
Uchache wake huhusishwa na kupungua kwa ubora wa mbegu za kiume pamoja na uwezo wa mwanamme kwenye kurutubisha yai la mwanamke. ( 36, 37, 38, 39, 40 )
Ukiondoa uwepo wa zinc, mbegu za maboga huwa pia na viondoa sumu vingi vinavyo hitajika katika kulinda ubora wa afya ya uzazi wa mwanamme.
4. Mifupa
Magnesium ni madini yanayotumiwa na mwili katika kuboresha afya ya mifupa.
Huongeza ujazo wa mifupa pamoja na kuzuia tatizo la kudhoofika na kuvunjika kwa mifupa. ( 41, 42, 43 )......Kwa elimu zaidi na ushauli na SULUHISHO LA KUDUMU LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME📲contact:+255746641655! Au bonyeza link hii kuja wattsap👉https://bit.ly Pia unaweza follow page yangu ya instagram{Kujifunza mengi juu ya afya ya uzazi na sayansi ya tendo la ndoa}@afya_dr.simfukwe1
0 Comments