JINSI SINDANO YA UZAZI WA MPANGO~DEPO INAVYO FANYA KAZI....


Sindano ya depo inafanya kazi kwa kuzuia yai lisipevuke na kutolewa kwenye mfumo wa mayai(ovary). Bila mayai kupevuka mimba haiwezi kutungwa. Sindano pia inafanya uteute wa ukeni kuwa mzito sana na hivyo kuzuia mbegu kuogelea kwenda kurutubisha yai.


Kila sindano nguvu yake inaisha baada ya miezi mitatu. Baada ya hapo unatakiwa kwenda hospitali kuchoma sindano ingine ili usishike mimba isiyotarajiwa. Ni muhimu kufika hospitali mapema kabla nguvu ya sindano ya kwanza haijaisha.


Kwa elimu zaidi ushauli na suluhisho la uzazi:Kushindwa kushika mimba,mvulugiko wa hedhi{kukosa hedhi,kutoka sanaaa hedhi...},kukosa ute ute ukeni na kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa....

📲+255746641655


Au bonyeza kink hii kuja inbox watsapp👉https://bit.ly/3XgpzOD