UGONGWA WA P.I.D{P.I.D=PELVIC INFLAMATORY DISEASE}NINI?........
NI maambukizi ya via vya uzazi vya mwanamke.
Ni maambukizi ya bakteria kwenye shingo ya uzazi, mirija ya fallopio, ovari na tumbo la uzazi (uterasi).
VISABISHI VYA P.I.D
Sababu kuu ya ugonjwa huu kutokea ni maambukizi yanayosambazwa kwa kujamiiana (STI),utoaji wa mimba kienyeji,mwanamke kuto safishwa vizuli mfuko wa uzazi baada ya ujauzito kuharibika na kuto pata matibabu dawa za kuzuia bacteria,mwanamke kuto zingatia usafi wa maumbile{Uke} baada ya kujifungua
Ugonjwa huu unaweza kuwaathiri wanawake wenye umri wowote, lakini wale wenye umri kati ya maika 15 na 24 huathirika zaidi.
👉Usikose kuendelea ku fuatilia mada itakayo fuata'Dalili za P.I.D'
Kwa ushauli zaidi📲call:+25574664166 Dr.SIMFUKWE
....Au bonyeza link hii kuja wattsap👍https://bit.ly/3XgpzOD
0 Comments