DALILI ZA P I D
👉Maumivu ya nyonga autumbo.
👉Maumivu wakati wa kujamiiana.
👉Uchafu usio wa kawaida kutoka ukeni.
👉 Homa.
MATIBABU YA P I D
PID hutibiwa kwa antibiotiki maalumu💊💉,baada ya kuthitishwa🔬 na mtalaamu wa afya👓
Utambuzi na matibabu ya mapema ni muhimu katika kuzuia madhara ya kupata utasa na kifo
Kwa elimu zaidi na ushauli call📲+255746641655
Au bonyeza link hii kuja wattsap👍https://bit.ly/3XgpzOD
0 Comments