Jee mwanaume anaweza kushindwa tungisha mimba?....Jibu ni ndio.


Mwanaume anaweza kuwa ana nguvu za kiume za kutosha,mbegu za kiume nyingi tena nzito,uwezo wa kwenda muda na kuludia tebdo lakini bado asiweze tungisha mimba,sababu nini hasa??;

👉Kuzalisha mbegu chache

👉Kutoa mbege dhaifu

👉Kutoa mbegu zilizo kufa

👉Kutoa mbegu zenye  uwezo mdogo wa kuogelea kuelekea yai la uzazi la mwanamke.....

👉Ulemavu wa uume{tundu la kutoa shahawa kuangalia chini kuliko kawaida au juu au kuwa pembeni}


KWA ELIMU ZAIDI NA SULUHISHO📲:+255746641655