Kuna mahusiano gani kati ya mwanaume mnene/mwenye kitambi na nguvu za kiume?:Mwanaume mwenye kitambi kikubwa/Uzito mkubwa,hiyo hupelekea mafuta mabaya kuziba mishipa inayo sambaza damu kwenye uume na ubongo.

       Hivyo humfanya mwanaume kushindwa kusimamasha uume ipasavyo,kuwahi kufika kileleni,kushindwa kuludia tendo,kukosa hisia napia kufanya uune usinyae nakuwa mdogo zaidi ya kawaida,homoni za mwili kuto kuwa sawa{Homoni za kike huenda zikawa juu kuliko za kiume,hivyo mwanaume atakosa mihemuko ya kiume ya kufanya tendo la ndoa }.Kama mwanaume ana upungufu wa nguvu za kiume na ni mnene/kitambi kikubwa,Punguza kwanza uzito angalau kilo 3 mpaka 15 hivi kisha  tibu nguvu za kiume utapata matokeo mazuli sanaaaa! kuliko kutibu nguvu za kiume wakati uzito wako ni mkubwa sanaaaaa!Inaweza kuwa nguvu kumaliza tatizo hilo hata kama tiba uliyo pewa ni sahihi.


Kwa msaada zaidi call/wattsap;+255746641655 au bonyeza link hii kuja wattsap moja kwa moja👍https://bit.ly/3XgpzOD