"FAIDA ZA MJAMZITO KUFANYA TENDO LA NDOA💘..."
👉Huleta furaha, hasa baada ya kufikia mshindo
👉Ni sehemu ya mazoezi
👉Huongeza kinga ya mwili
👉Ni sehemu ya kuboresha uhusiano
👉Hupunguza maumivu ya mwili
👉Huboresha usingizi
👉Hupunguza hasira na wasiwasi
👉Huandaa vyema misuli ya nyonga kwenye kuhimili zoezi kujifungua
👉Husaidia kuimarisha misuli ya kibofu cha mkojo, hivyo kupunguza adha ya kwenda haja ndogo mara kwa mara
Kwanini faida zote hizi? Kwa sababu mwili wa mwanamke huzalisha vichocheo na kemikali mbalimbali wakati wa tendo la ndoa.
Kemikali na vichocheo hivi hufaa kwa afya ya
🔥KWA ELIMU ZAIDI JUU YA AFYA YA UZAZI NA SAYANSI YA TENDO LA NDOA WASILIANA NA Dr.Simfukwe📲;+255746641655
Au bonyeza link hii kuja inbox wattsap👉https://bit.ly/3XgpzOD
0 Comments