FANGASI UKENI....

     Fangasi ukeni ni maambukizi ya kawaida ya midomo ya uke (vulva) na uke yanayosababishwa na fangasi inayoitwa candida. Ugonjwa huu hujulikana pia kama fangasi kwenye sehemu za siri.

Kandida mara nyingi huwepo katika viwango vidogo mwilini. Hata hivyo, katika baadhi ya visa, kuna uwezekano fangasi hawa kuwepo kwa wingi na kusababisha maambukizi. Huu kwa kawaida siyo ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya kujamiiana (STI). Lakini, wakati mwingine unaweza kusambazwa kati ya wapenzi.                                

    DALILI ZA FANGASI 

     Dalili kuu hujumuisha mwasho ukeni, maumivu wakati wa kukojoa au kujamiiana, na uchafu mweupe na mzito kutoka ukeni.                  

                   TIBA

    Tiba ya fangasi ukeni inategemea uamuzi wa mtaalamu kulingana na hali ya mgonjwa na inaweza kutibika kirahisi kwa dawa.

    Wakati mwingine maambukizi haya yanaweza kujirudia. Yanaweza kutokea katika vipindi vya msongo, hasa kwa watu wenye kisukari au magonjwa ya mfumo wa kinga.  

💥Kwa ushauli na suluhisho piga number📲:+255746641655 

Au bonyeza link hii kuja wattsap👍https://bit.ly