MADHALA/MAUDHI YA KUTUMIA VIDONGE VYA P2 KWA MWANAMKE:
👉Kichefuchefu
👉kutapika
👉maumivu ya tumbo
👉kuchoka sana
👉mabadiliko ya uteute ukeni
👉matiti kulainika ...👉maumivu yakichwa
💥Haya yanaweza tokea baada ya kumeza P2
MADHALA MENGINEYO:
👉Hedhi kuwa nzito kupita kiasi
👉chuchu kuuma
👉kukosa kabisa hedhi
👉maumivu ya nyonga
👉kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa,* ... Haya hutokea hasa ikitumika kwa muda mlefu! na inaweza pelekea mwanamke kupata ugumu wa kubeba ujauzito{Ugumba}
🔥Kwa elimu zaidi,ushauli na suluhisho📲:255746641655
Au bonyeza link hii kuja watsapp in box👉https://bit.ly/3XgpzOD
0 Comments