Tembe hizi P2 ni nini?
Kimombo hujulikana ‘Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa.
Mara nyingi daktari humwandikia mtu ambaye ana shaka na kupata ujauzito asiyoutarajia baada ya tendo kwa mfano ikiwa amebakwa na inatakiwa kutumika ndani ya saa 48 hadi 72 kupata matokeo.
Kutumika kwa njia hii hakumzuii mtumiaji kutokupata magonjwa ya zinaa.
Wataalamu wa afya wanasisitiza tembe hizo hazipaswi kumezwa mara kwa mara kwani vichocheo vilivyotumika kuitengeneza huweza kuathiri
💥KWA ELIMU ZAIDI📲+255746641655
0 Comments