MADHARA YA KUTOFANYA TENDO LA NDOA KWA MUDA MREFU! 

Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo na kukosa furaha. Wanandoa, wapenzi ama wachumba wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara wanatajwa kuwa wapo kwenye mstari wa furaha Zaidi kuliko ambao hawafanyi kabisa.

Msongo wa mawazo na Kusahau

Jambo jingine ni kupendelea sana kuangalia picha za uchi (picha za ngono), kusahausahau, kupendelea habari zinazohusu mapenzi, pia ni rahisi sana kupatwa na msongo wa mawazo ambao wengi hupelekea kujiua.Pia watu hawa hupenda kurukia rukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu).


Ukuta wa uke kuwa mwepesi na mkavu

Hii ni kwa mwanamke tissue zinazozunguka njia ya kizazi ya mwanamke zinakuwa nyembamba, nyepesi na zinakaza (tight).Anapungukiwa majimaji ya kulainisha njia ya uzazi (uke) hivyo anaweza kutokwa damu wakati wat endo la ndoa.Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi na wakati mwingine inaweza kumsababishia matatizo wakati wa kujifungua (complicated birth).


Tezi Dume

Kwa wanaume inaweza kuwa rahisi zaidi kupata tezi dume, katika tafiti iliyofanywa kwa wanaume 30,000 waliobainika kufanya tendo la ndoa na kufika kileleni mara 21 kwa mwezi, walionekana ni nadra sana kupata ugonjwa wa tezi dume kuliko ambao hawafanyi kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu.


Kinga ya Mwili

Kufanya tendo la ndoa kwa mpangilio mzuri (regular) inafanya kinga ya mwili kuwa active tofauti na ambaye hafanyi.Tafiti zinasema wanaofanya mapenzi mara kwa mara wanapata nafasi ya kutengeneza antibody ziitwazo immunoglobulin  ambazo zina kazi kubwa kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili wa binadamu.


Uwezo wa kufanya kazi

Kingine ni kuumwa na kichwa, kukakamaa mgongo (wanaume), kupoteza umakini katika kazi (efficiency) siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno.


Kwa ushauli zaidi na elimu juu ya afya ya uzazi na sayansi ya tendo la ndoa,wasiliana nami:Dr.SIMFUKWE📲+255746641655 au bonyeza link kuja wattsap👍https://bit.ly/3XgpzOD